Home > Terms > Swahili (SW) > makamu wa rais

makamu wa rais

Jukumu kubwa la makamu wa rais ni kuchukua urithi wa urais iwapo rais atajiuzulu,atatolewa au hata kufariki.

Jukumu lingine la kikatiba kwa makamu wa rais ni kuongoza bunge la senate la Marekani na kutumia kura yake kuamua pale ambapo pande zote mbili zinalingana. Hali hii hukiukwa tu pale ambapo bunge la senate linatekeleza jaribio la kumwondoa rais mamlakani.

Katika miaka ya hivi karibuni,makamu wa rais wamechukua majukumu makubwa zaidi ya kusimamia sera za kitaifa na kimataifa ambazo ni za hadhi ya juu.

0
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

edithrono
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 1

    Followers

Industry/Domain: Festivals Category: Halloween

Halloween

Inajulikana pia kama All Hallow's Eve, Halloween ni likizo ya mwaka inayosherehekewa tarehe 31 Oktoba katika Marekani, Canada, na Uingereza. Ni eti ...

Contributor

Featured blossaries

Corporate Social Responsibility CSR

Category: Business   2 11 Terms

Top 10 Telecom Companies of the World 2014

Category: Business   1 10 Terms