Home > Terms > Swahili (SW) > shughuli za baada ya masomo

shughuli za baada ya masomo

Shughuli nyinginezo za mtaala ambazo ni pamoja na: vyama na makundi ambazo huwa nyongeza muhimu katika masomo ya kawaida ya kila siku shughuli hizi huwa pana na ni pamoja na; muziki, uigizaji, michezo na mazoezi ya makundi ya vyama. Walimu wanachangia pakubwa katika kazi hii.

0
  • Part of Speech: noun
  • Synonym(s):
  • Blossary:
  • Industry/Domain: Education
  • Category: Schools
  • Company:
  • Product:
  • Acronym-Abbreviation:
Collect to Blossary

Member comments

You have to log in to post to discussions.

Terms in the News

Featured Terms

DEBORA KAYEMBE
  • 0

    Terms

  • 0

    Blossaries

  • 7

    Followers

Industry/Domain: Government Category: U.S. election

ukanda wa wafu

Kipindi kiasi utulivu wa msimu wa kampeni ambayo kwa kawaida huwa unaangukia kati ya msingi Florida na mashindano uliofanyika katika Arizona na ...